Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 378
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbuka ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika hoteli ya Akgun katika jimbo la Istanbul.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika kituo cha kitamaduni mjini Tatvan, katika jimbo la Bitlis, lililopewa kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!" Sambamba na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inamuomboleza katika wanaume wake, mbebaji Da'wah kutoka kizazi cha kwanza katika safu zake. Marhum bi idhnillah (swt):
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari silsila mpya ya video kutoka kwa vipindi vya Al-Waqiyah TV zenye kichwa "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!"
Waislamu wa Kashmir inayokaliwa kimabavu hawahitaji taarifa rasmi za kawaida za mnamo tarehe 5 Februari 2022, Siku ya Kashmir.
Khutba ya Ijumaa ya Ustadh Nasser Ridha, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan