Mapendekezo ya Kongamano la Majadiliano ya Ombi la Watu wa Sudan Hayakutengana na Hazina ya Mfumo wa Kibepari wa Kidemokrasia
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kongamano la majadiliano ya pande zote ya kile kinachoitwa Wito wa Watu wa Sudan lilihitimisha kazi yake jana, Jumapili, kwenye Ukumbi wa Urafiki jiji Khartoum, na lilitoka na mapendekezo kadhaa, mengi yakiwa ni matakwa, na mazungumzo ya kujirudia ambayo hayakutengana na hazina ya mfumo wa kibepari wa kidemokrasia.



