Sauti Zinazounga Mkono Ushoga Zisingeongezeka Lau si kwa Ufisadi wa Mamlaka na Kutokuwepo kwake hata katika Utabikishaji wa Sheria Walizoanzisha!
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mamlaka ya kisiasa imetoweka, nguvu yake imefifia, na, pamoja na wabunge wake, walipuuza hata vifungu vya katiba walivyovipitisha, ambavyo vinakemea waziwazi na uchafu na ufuska. Waliwaacha watu kwenye hatima yao mbaya, hata katika kupata huduma msingi kama maji na umeme.