Ulaya Kukimbizana na Wakati katika Kuzinyonya Rasilimali Muhimu za Tunisia
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Chini ya mwezi mmoja baada ya Tunisia kutia saini mkataba wa maelewano juu ya Ushirikiano wa Kimkakati na Mpana na Muungano wa Ulaya, ilitangazwa kwa haraka kuwa ilipata zaidi ya euro milioni 300 kutoka kwa Tume ya Ulaya kusaidia ufadhili wa mradi wa uunganishi wa umeme kati ya Tunisia na Italia, haswa kati ya Menzel Tamim na Sicily.