Alhamisi, 17 Dhu al-Qi'dah 1446 | 2025/05/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mpango wa Kufufua Uchumi Hauwezi Kumaliza Mgogoro wa Kiuchumi Unaokua. Mpango huo tiifu kwa Mfumo wa Kimataifa wa Kibepari. Inafungua Njia kwa Ukoloni Zaidi wa Kiuchumi wa China kwa Pakistan

Taarifa moja kwa vyombo vya habari iliyotolewa na serikali ya Pakistan mnamo Juni 20, 2023 ilitangaza mpango mpya wa kufufua uchumi. Kimsingi unaungwa mkono na uongozi wa jeshi, na kupewa lakabu ya "Kanuni ya Asim Munir."

Soma zaidi...

Kutabikisha amri ya Mwenyezi Mungu katika Takbir, Tahlil, na Tahmid ndio usalama wa kweli, sio wa vyombo vya usalama na vyumba vyeusi!

Katika siku kumi za mwanzo za Dhul Hijjah, Uislamu umetutaka kutangaza waziwazi Takbir, Tahlil na Tahmid katika maeneo ya umma. Hivyo basi, Hizb ut Tahrir katika Wilayah Lebanon ilitoa wito wa msafara wa gari yakiwa na Rayat (bendera) ya "La ilaha illallah Muhammadur Rasulullah."

Soma zaidi...

Pesa za Waislamu ziko Mifukoni mwa Wafisadi

Hatimaye, baada ya majadiliano marefu kati ya serikali na wawakilishi wa Bunge, mizozo na maafikiano kati ya kambi za kisiasa zilizoendelea kwa muda wa miezi mitano, Baraza la Wawakilishi lilipiga kura mnamo Jumatatu, sawia na 12/6/2023, kuhusu rasimu ya sheria ya bajeti ya serikali ya Iraq kwa miaka ya fedha (2023, 2024, 2025)

Soma zaidi...

Serikali ya Australia Yatafuta Kupiga Marufuku Nembo za Uislamu kwa Kisingizio cha Ugaidi

Serikali ya Australia leo imeashiria kuanzishwa kwa sheria inayolenga kuharamisha nembo za chuki.

Mark Dreyfus, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Majimbo, alisema hivi leo katika taarifa yake kwa vyombo vya habari: “Serikali ya Albanese leo imeanzisha mageuzi ya kina ili kulinda jamii dhidi ya wale wanaotaka kueneza chuki na kuwachochea wengine kufanya vitendo vya ugaidi.”

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu