Enyi Majeshi ya Waislamu! Je, Talbiya inayotamkwa wakati wa Hajj itakufanyeni Muitikie Wito wa Mwenyezi Mungu na Muanze Kutembea Kuikomboa Gaza?
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hakika Talbiya (Labaika Allahuma Labaik, labaika laa shareeka laka labaika...) inapaswa kuyaamsha majeshi ya Waislamu kuvuka mipaka bandia ya Sykes Picot ili kuwanusuru wana wa Gaza ambao wamelitikisa jeshi la Mayahudi.



