Pesa za Waislamu ziko Mifukoni mwa Wafisadi
- Imepeperushwa katika Iraq
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hatimaye, baada ya majadiliano marefu kati ya serikali na wawakilishi wa Bunge, mizozo na maafikiano kati ya kambi za kisiasa zilizoendelea kwa muda wa miezi mitano, Baraza la Wawakilishi lilipiga kura mnamo Jumatatu, sawia na 12/6/2023, kuhusu rasimu ya sheria ya bajeti ya serikali ya Iraq kwa miaka ya fedha (2023, 2024, 2025)