Kuongezwa Muda wa Ujumbe wa UNITAMS kwa Mwaka Mwengine Kunatokana na Usimamizi wa Dhahiri wa Nchi za Kikoloni juu ya Sudan
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Makamu wa Rais wa Baraza Huru la Utawala, Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti), alithibitisha dhamira yao ya kushirikiana na mifumo yote ya Umoja wa Mataifa na Baraza la Haki za Binadamu, kukuuza na kuendeleza haki za binadamu nchini.
Akihutubia mkutano wa Jukwaa la Kiuchumi la Dunia jijini Davos mnamo tarehe 26 Mei 2022, Isaac Herzog, rais wa umbile la Kiyahudi, alielezea furaha yake wakati wa ziara ya ujumbe wa Pakistan kwa uvamizi wa Mayahudi.
Wanachama wa Baraza la Wawakilishi la Iraq walipiga kura kuunga mkono sheria iliyopendekezwa ya "kuharamisha usawazishaji mahusiano" na umbile la Kiyahudi, sheria iliyopendekezwa na kambi ya Sadr na washirika wake.
Shirika la Kuchunguza Haki za Binadamu la Syria liliripoti kwamba familia 4 ziliondoka kwenye kambi ya al-Rukban, iliyoko kwenye mpaka wa mashariki wa Syria na Jordan na Iraq, na limenakili kuondoka kwa familia 18 na vijana 19 katika makundi sita hadi maeneo yanayodhibitiwa na serikali,
Mnamo tarehe 14 Mei, gazeti la Times la India lilichapisha ripoti kuhusiana na jinsi viwango vya mfumko wa bei vimeathiri pakubwa maisha ya kiuchumi ya wanawake wa Kiislamu na kuwaacha katika hatari ya matatizo makubwa ya kiafya.
Kwa Kusawazisha Kwao Mahusiano na Umbile la Kiyahudi, Zathibitisha Njama na Usaliti Wao wa Msikiti wa Al-Aqsa na Ardhi Iliyobarikiwa.
Demokrasia huru ya udanganyifu ya Pakistan, kwa hakika, inaifanya Pakistan kuwa mtumwa wa maslahi ya Marekani kupitia mistari mekundu.
Kupanda kwa bei karibuni ya nishati ya mafuta nchini Tanzania kumeleta ziada ya hali ngumu na mbaya ya kiuchumi ikisukuma mfumko wa bei kwa kiwango cha 3.8 (ndani ya Aprili 2022) katika kila bidhaa ikiwemo kupanda kwa nauli za dala dala na katika majiji,
Chama cha Sheria na Maendeleo kilitoa habari zenye kichwa: "Chama cha Sheria na Hizb ut Tahrir zinajadiliana hatua ya pamoja ya kuelimisha taifa," ambapo ndani yake kilitaja ziara ya ujumbe wa Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan katika makao makuu ya Chama hicho cha Sheria,