Tanzia na Rambirambi kwa Kifo cha Khaled Ahmed Ibrahim Trad (Abu Muhammad)
- Imepeperushwa katika Australia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir nchini Australia inaomboleza kifo cha mmoja wa watu ambaye mapenzi yake kwa Quran, Waumini na Dawah yaliwagusa watu wengi katika jamii (Mwenyezi (swt) amrehemu): Ndugu Khaled Ahmed Ibrahim Trad (Abu Muhammad)



