Jumatano, 19 Dhu al-Qi'dah 1447 | 2026/05/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uongozi wa Kisiasa na Kijeshi wa Pakistan Umefungwa ndani ya Mapambano Duni ya Kung’ang’ania Utawala, Huku Maeneo Makubwa ya Nchi Yakikumbwa na Mafuriko

Maeneo makubwa ya Pakistan yanakumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa za masika. Kulingana na NDMA, tangu Juni 12, watu 903 wamekufa, watu 1293 wamejeruhiwa, karibu nyumba 300,000 zimeharibiwa kwa kiasi na nyumba 200,000 zimeharibiwa kabisa.

Soma zaidi...

Amerika, Urusi, China na Wafuasi Wao Wanacheza na Moto Na Hakuna Yeyote kati yao Aliyeko kwa ajili ya Manufaa ya Dunia

Imekuwa dhahiri kuwa Utawala wa Biden, una nia mbaya kama watangulizi wake. Katika kipindi cha miezi michache tu, umethibitisha kwamba katika madhumuni ya kudumisha ubabe wake juu ya uchumi wa dunia hauna tatizo lolote katika kuleta hali yoyote ya kisiasa duniani kwenye njia panda.

Soma zaidi...

Pendekezo la Kupiga Marufuku Hijab ni Tangazo la Vita dhidi ya Jamii ya Kiislamu

Serikali mbalimbali za Denmark kwa muda mrefu zimefuata sera ya chuki dhidi ya Uislamu iliyo dhihirishwa kwa sheria zinazolenga maadili na mfumo wa maisha wa Kiislamu. Serikali ya sasa inataka kupiga hatua kubwa mbele katika mapambano yake ya kidhalimu ya kuwaoanisha kwa nguvu Waislamu nchini Denmark.

Soma zaidi...

Majibu kwa Vyombo vya Habari

Jibu la swali lako mwishoni mwa hotuba yako (neno mpendwa) katika safu yako ya usomaji (neno la heshima) katika Gazeti la Akhbar Al-Youm, lililochapishwa leo, Jumanne, Muharram 25, 1444 H, sawia na 08/23/2022 M, Toleo Na. 10770, ambapo ilikuja katika hotuba ya kupendeza zaidi:

Soma zaidi...

Enyi Waislamu! Zuieni Mateso ya Serikali kwa wale Wanaolingania Kuregeshwa kwa Utawala wa Haki na Uadilifu - Khilafah

Hizb ut Tahrir ina kazi ya kuregesha mfumo kamili wa maisha wa Kiislamu kwa kuzikomboa nchi za Kiislamu, ikiwemo Bangladesh, kutoka katika makucha ya Wakoloni makafiri na kusimamisha tena Khilafah Rashida; na Wakoloni wa makafiri wanajaribu kuzuia kurudi kwa Khilafah kupitia vibaraka wao - watawala masekula wa Waislamu.

Soma zaidi...

Uongozi wa Kisiasa na Kijeshi wa Pakistan Unalinda Ufisadi na Wafisadi nchini Qatar

Baraza la mawaziri la kifederali la Pakistan mnamo tarehe 22 Agosti 2022 liliidhinisha kutiwa saini kwa makubaliano kati ya dola ya Qatar na Jeshi la Pakistan kwa ajili ya kutoa usalama kwa kipute kijacho cha Kombe la Dunia la FIFA 2022, hafla kubwa itakayofanyika nchini Qatar, ambapo zimesalia siku 90 pekee.

Soma zaidi...

Taliban Waliwasili jijini Moscow kama Wafanyibiashara badala ya Kufikisha Risala kutoka kwa Mwenyezi Mungu!

Mnamo Agosti 15, shirika la habari la Kormesant.ru liliripoti: "Taliban" (harakati inayotambuliwa kama ya kigaidi na iliyopigwa marufuku katika Shirikisho la Urusi) inakusudia kuanzisha biashara ubadilishanaji na Urusi. Waziri wa Viwanda na Biashara wa Imarati ya Kiislamu ya Afghanistan, Nuriddin Azizi, alisema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi jijini Moscow.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu