Polisi Nchini Tanzania Wamepiga Marufuku Kongamano la Hizb ut Tahrir la Kuikaribisha Ramadhan
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Polisi kwa kiburi wamepiga marufuku kongamano la Hizb ut Tahrir la kuikaribisha Ramadhan ambalo lilikuwa lifanyike mnamo Jumamosi 20 Mei 2017 katika Hoteli ya Mayfair, jijini Dar es Salaam.



