Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Tanzania ilituma Ujumbe kwa Ubalozi wa Pakistan Jijini Dar es Salaam

Kufuatia utekaji nyara wa aibu kwa dada yetu Romana na Dada Roshan pamoja na mumewe kulikotekelezwa na Mamlaka ya Pakistan kwa sababu tu wanaunga mkono ulinganizi (da'wah) wa Kiislamu kupitia Hizb ut Tahrir, Hizb ut Tahrir / Tanzania mnamo 20 Agosti 2018 ilituma ujumbe kwa Ubalozi wa Pakistan nchini Tanzania kuukabidhi taarifa mbili kwa vyombo vya habari kuhusiana na suala hilo hasa.

Soma zaidi...

Waislamu na Wanadamu kwa Jumla ni Wakati wa Kukumbuka Siku Hii

Mwishoni mwa mwezi huu mtukufu wa Rajab, mataifa ya kirasilimali na ya kikoloni baada ya kupangiliwa vizuri kwa njama na mikakati ya muda mrefu yalifaulu kuivunja Dola ya mwisho ya Kiislamu ya Khilafah Uthmaniya ambayo makao yake makuu yalikuwa nchini Uturuki, tukio ambalo lilifikia kileleni mwake mwishoni mwa Rajab 1342 H / Machi 1924 M.

Soma zaidi...

Taasisi za Dola Nchini Tanzania Zimewakamata kwa Dhulma Wanachama Watatu wa Hizb ut Tahrir Bila ya Sababu Yoyote!

Hizb ut Tahrir / Tanzania inashutumu vikali vitendo vya mamlaka za dola zilizo wakamata wanachama wake watatu na kuwafungia pasi na kuwa na mawasiliano yoyote bila ya maelezo au uwakilishi wa kisheria kwa zaidi ya mwezi mmoja kinyume na sheria kisha kubuni mashtaka ya uongo na maovu dhidi yao ya 'njama ya kutekeleza ugaidi' na 'utekelezaji ugaidi'. 

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu