Namna gani Waislamu Walizishughulikia Bishara za Mtume (saw)?
- Imepeperushwa katika makala
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Nabii wa Mwenyezi Mungu (saw) alitoa bishara mbalimbali kwa Waislamu zilizowahamasisha kutenda kazi na kuwa na hakika ya kupata ushindi; baadhi yake zimetimizwa na baadhi bado hazijatimizwa.