Vipi Khilafah Itakabiliana na Ufisadi wa Kisiasa
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hivyo basi, endapo Mwenyezi Mungu atafanya yale ambayo washirikina hawa wanayataka na kusimamia mambo kwa mujibu wa matakwa na matamanio yao na kuachana na haki wanayoichukia, mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake vingefisidika; hii ni kwa sababu hawajui matokeo ya vitu na wema na ufisadi wa usimamizi (tafsiri ya Tabari).