Ushuhuda Kumhusu Naveed Butt
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Naveed Butt ni sura halisi ya uongozi katika dola ya Khilafah ijayo.
Naveed Butt ni sura halisi ya uongozi katika dola ya Khilafah ijayo.
Kuna ombwe kubwa la kimfumo kote duniani, ambalo linadhihirika kwa Wamagharibi, kwa kiasi kikubwa kama ilivyo ndani ya ulimwengu wa Kiislamu, ikiwemo Pakistan.
Septemba 11, 2020 inaashiria kumbukumbu ya miaka 19 ya shambulio la 9/11, ambalo linachukuliwa kuwa tukio baya zaidi lililotokea kwenye ardhi ya Amerika.
Usimamishaji Khilafah ni Faradhi juu ya Kila Muislamu Kote Ulimwenguni, Ima Awe Anadhulumiwa Moja kwa Moja na Serikali Dhalimu au La
Mwenyezi Mungu ameteremsha Dini tukufu ya Uislamu kwa mwanadamu bora zaidi, Mtume Muhammad (saw). Yeye (swt) amesimamishia utawala kwake (saw) juu ya ardhi.
Baada ya mataifa ya kikafiri kuungana dhidi ya Dola ya Khilafah na kuiondosha mwaka 1924 Miladi, na kugawanya ardhi za Waislamu katika vijinchi vidogo vidogo, Ummah umeathiriwa na tawala ambazo bila ya kuwa na mamlaka kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt)...
Suala la Mpango wa Ulimwengu limeungana kwa karibu na linavyojiangalia taifa au jamii. Namna gani jamii inavyojiangalia yenyewe? Ni nini ujumbe wa jamii hiyo?
Kuna watu wengi wanashughulishwa sana na kuvunjika moyo wanapopatwa na madhara, shida au magonjwa.
Katika mwezi wa Rajab 2020 Miladia, itakuwa ni kumbukumbu ya miaka 99 Hijria tokea kuangushwa kwa Khilafah.
Katika kumbukumbu ya 99 ya kuvunjwa kwa Khilafah huko Istanbul, ni juu yetu kumkumbuka mmoja wa masahaba wakubwa wa Mtume (saw), Abu Ayyub Al-Ansari, alikuwa ni miongoni mwa watiaji hamasa wakubwa kwa jeshi la Sultan Fatih kuhakikisha kufikiwa bishara ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika kuiteka Konstantinopoli (ambayo baadaye ikawa Istanbul).