Vipi Khilafah Itakavyo Hifadhi Haki za Kisiasa za Wanawake
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
- Uislamu huwawajibisha wanawake kuwa na dori changamfu katika siasa za mujtama wao: kuchunga mambo ya Ummah wao, kuzungumza dhidi ya ukandamizaji na ufisadi, kuamrisha mema (Ma’ruf) na kukataza maovu (Munkar), na kuwahisabu watawala wao.



