Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Vipi Khilafah Itakavyo Unda Nidhamu ya Elimu ya Daraja ya Juu Kabisa

Ili kuunda Nidhamu ya Elimu ya Daraja ya Juu Kabisa ya aina hiyo yahitaji nidhamu ya kisiasa ya daraja ya juu kabisa – nidhamu inayo kumbatia ruwaza ya kisiasa ya kipekee, ya hali juu na huru kwa dola yake na kwa ulimwengu, iliyo jengwa kwa msingi wa ayah hiyo ya juu – kuwatoa watu kutoka katika giza la ujinga wa ukafiri na kuwapelekea katika nuru ya Uislamu na uadilifu na mafanikio unayoleta kwa wanadamu katika kila nyanja ya maisha – kiroho, kiakili, kiakhlaqi, kisiasa, kiuchumi, na katika sayansi na teknolojia.

Soma zaidi...

Vipi Khilafah Itakavyo Andaa Jeshi Lenye Nguvu Duniani Litakalo Pambana kwa Ajili ya Uislamu

• Tangu kuvunjwa kwa Khilafah 1924, usalama umekosekana ndani ya ulimwengu wa Waislamu, na kuwapelekea Waislamu kukosa mlinzi dhidi ya uvamizi wa madola ya kiulimwengu na kimaeneo, mapambano baina ya Waislamu yaliyo dhaminiwa kutoka nje na mabomu ya droni na kupelekea damu za Waislamu kukosa thamani. 

Soma zaidi...

Hatua za Kivitendo Zitakazo Chukuliwa na Khilafah Rashida ili Kuzuia Ukosefu wa Ajira

Ukosefu wa ajira ni mfano wa kadhia na matatizo mengineyo yaliyo sababishwa na mfumo huu wakilafi wa kiulimwengu wa kirasilimali, ikiwemo nidhamu ya kiuchumi ya kirasilimali inayotabikishwa ambayo huzalisha tu migogoro na majanga ya kiuchumi pekee, kwa kuwa iliunda nidhamu ya matabaka katika mujtama na kuongeza idadi ya wasiokuwa na ajira na kufilisi akiba za watu na kusambaratisha uchumi wa nchi nyingi duniani. 

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu