Watu walio katika Utumwa wa Kiakili Hawana Haki ya Kuongoza Majeshi ya Waislamu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siri ya ushindi wa zamani wa Waislamu dhidi ya majeshi makubwa zaidi ni nguvu ya kiroho ya Waislamu. Majeshi ya Waislamu yalitoka nje kwa lengo la kiroho, sababu ya kueneza nuru ya Uislamu, sababu ya kutakasa ardhi kutokana na uchafu wa makafiri.



