Al-Waqiyah TV: Filamu ya Makala “Palestina Yote ni Wajibu Ikombolewe!"
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Filamu ya Makala “Palestina Yote ni Wajibu Ikombolewe!"
Filamu ya Makala “Palestina Yote ni Wajibu Ikombolewe!"
Kwa kuzingatia mauaji ya halaiki ya kikatili ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi mitano iliyopita yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000.
Kwa mnasaba wa miaka 100 M (103 H) ya mkoloni kafiri, kwa msaada wa makhaini wa Kiarabu na Kituruki, kuivunja Dola ya Uislamu (Khilafah Uthmani) na kuondolewa kwa mfumo wa utawala katika Uislamu (Khilafah) kutoka kwa maisha ya Umma wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Denmark inaandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah.
Mnamo Agosti 2023, mawakili wawili, Nik Elin Zurina na Tengku Yasmin, waliwasilisha ombi kwa lengo la kubatilisha vifungu18 ndani ya Sharia ya Jinai ya Kelantan. vifungu hivyo, vilivyoainishwa chini ya Sharia ya Kiislamu, viko chini ya mamlaka ya Bunge la Jimbo la Kelantan (DUN).