Jumamosi, 02 Dhu al-Qi'dah 1447 | 2026/04/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Kutoka Pakistan hadi ash-Sham: Je, Kweli Tulimshinda Bashar au Tulimbadilisha tu kwa Nakala zake?!

Wakati miji yote ilipokombolewa kutoka mikononi mwa dhalimu wa ash-Sham, Bashar, tulifikiri ushindi ulikuwa umefika. Tuliamini kuwa wakati umefika wa kusimamishwa Khilafah kwa njia ya Utume—hali ile ile iliyobashiriwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)—ambayo itatawala kwa Qur’an na Sunnah na ilionekana iko tu kwenye kona. Walakini, kuvunjwa moyo kulilingana na ukubwa wa mihanga, na usaliti ulifuata takriban miezi sita baada ya wanamapinduzi kuingia Damascus kwa takbira na shangwe za ushindi. Usaliti ulikuja kutoka kwa wale tuliotarajia wangejenga upya juu ya magofu—sio kujisalimisha kwao!

Ujerumani Yapoteza Fursa ya Kihistoria

Katika maadhimisho ya miaka 60 ya kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia na umbile la Kiyahudi, Jamhuri ya Shirikisho ya Ujerumani inapoteza fursa yake ya kihistoria ya kujikomboa kutoka katika hatia iliyotungwa dhidi ya Mayahudi. Badala yake, shauku ya kile kinachoitwa "maslahi makuu ya kitaifa" - kisingizio kinachotumiwa kuhalalisha uungaji mkono usio na masharti kwa umbile la Kiyahudi - yamefikia kilele kipya kwa tangazo kwamba kuunga mkono umbile hili ni "msingi wa kuwepo kwa Ujerumani"!

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Jeshi la Anga la Pakistan lazima liongoze kampeni ya anga (Operesheni Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi na Makruseda!

Jeshi la India lilithibitisha kwa mara ya kwanza mnamo 31 Mei 2025 kwamba lilikuwa limepoteza idadi isiyojulikana ya ndege za kivita katika mapigano na Pakistan mnamo Mei mwaka jana. Enyi mwewe wa nchi hii safi! Umbile la Kiyahudi linafanya mauaji makubwa dhidi ya watoto wetu, dada na babu zetu, na hamkusonga! Kwa fadhila na upendeleo wa Mwenyezi Mungu ﷻ, muna uwezo wa kuongoza “Vita Vikuu vya Angani” dhidi ya vikosi vya kikatili vya Netanyahu na Trump.

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu