Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali za Iftar ya Pamoja - Ramadhan 1443 H
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa programu nyingi za iftar katika miji mikubwa zaidi ya 20 kote nchini Uturuki kwa kuwashirikisha wawakilishi wa vyama vya kisiasa, waandishi habari, vyombo vya habari na mashirika yasiyo ya kiserikali.