Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina pamoja na Wanaume, Wanawake, na Koo Yatangaza Kukataa katakata Sheria ya Ulinzi wa Familia na CEDAW!
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika mkusanyiko mkubwa wa taadhima uliofanywa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina mnamo siku ya Jumatano, Machi 23, 2022, watu wa Palestina walitangaza kukataa kata kata Sheria ya Ulinzi wa Familia inayotokana na CEDAW, ambayo Mamlaka ya Palestina inakusudia kuiidhinisha.