Hotuba ya Kisiasa katika Klabu ya Al-Hilal, Kusini mwa Soko la Port Sudan
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilitoa hotuba ya kisiasa mnamo siku ya Jumatatu, 23 Jumada al-Awwal 1446 H, sawia na tarehe 25 Novemba 2024, katika Klabu ya Al-Hilal, kusini mwa soko kuu la Port Sudan. Anwani ya hotuba hiyo ni: “Mali ni ya Mwenyezi Mungu, na Watu ni Wadhamini Wake.”