Muozo wa Tabia na Maadili, Tunda la Mfumo Mbovu wa Ubepari
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kutekwa nyara kwa mwanablogu wa Mombasa Bruce John, ambaye pia alilawitiwa na kundi la wanaume kumezua kilio cha umma katika Jiji la Pwani la Mombasa na Kenya kwa jumla. Wito wa haki umekuwa mwangwi, marafiki, familia, na wanaharakati wa haki za binadamu wakikusanyika kumuunga mkono mwanablogu huyo mchanga.