Mfumo Fisadi Huzaa Maafisa Wafisadi
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mara nyingine tena, kashfa nyingine ya ufisadi imeonekana. Wakati huu inawahusisha maafisa wa Wizara ya Afya wanaozuiliwa juu ya ufujaji wa zaidi ya Shilingi bilioni tatu ($300m). kama kawaida, uchunguzi umeanzishwa lakini kwa yakini hakuna atakaye shitakiwa.