Msikiti wa Al-Aqsa: Amali za Ijumaa za Ramadhan 1444 H - 2023 M
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Amali za Ijumaa za Ramadhan 1444 H - 2023 M
Amali za Ijumaa za Ramadhan 1444 H - 2023 M
Bangladesh inashuhudia mfululizo wa matukio mabaya ya moto moja baada ya jengine katika miaka kadhaa iliyopita ambayo yamesababisha vifo vya watu wengi na kujeruhiwa. Pigo la sasa lilisababisha milipuko mitatu mfululizo ndani ya siku nne pekee.
Namaanisha, zaka ya bidhaa za biashara ni thamani ya bidhaa inayotolewa kwa ajili ya kuuzwa, thamani ya kuiuza kutoka kwa mlipaji zaka kwa wateja wake, sio thamani ambayo mlipaji zaka anainunulia kwayo!
Ikiwa nilinunua simu za rununu 10,000 na kuziuza kwa 15,000. Zaka itakuwa kutokana na 15,000.
Je, hii ni sahihi?!
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyo jijini The Hague/ Uholanzi imetoa agizo la kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Özlem Zengin, Naibu Mwenyekiti wa Kundi la AKP, alisema, "Hili ni eneo letu jekundu" kwa ajili ya marekebisho ya sheria Na. 6284 kuhusu "vita dhidi ya unyanyasaji dhidi ya wanawake", ambayo Yeniden Refah Party (YRP) imeiweka mbele kama sharti la kujiunga na Muungano wa Watu
Kwa kweli ni kama Mfumo wa Uendeshaji (OS) ambao hauwezi kusakinishwa kwenye OS nyengine.
Majaribio yoyote ya ‘kuiweka ndani yake’ bila shaka yatafeli na kuongeza masaibu ya Ummah.
Kwa Umma bora ulioletwa kwa ajili ya wanadamu... Umma wa Kiislamu ambao Mwenyezi Mungu ameutukuza kwa utiifu Wake...
Kwa wabebaji Da’wah ambao biashara wala uuzaji haviwashughulishi na kumkumbuka Mwenyezi Mungu...
Afisa mmoja wa Uingereza amethibitisha kuwa Uingereza itaipatia Ukraine makombora yenye uranium iliyopungua ambayo yatatumika pamoja na vifaru vya Challenger 2 vilivyotengenezwa Uingereza licha ya maonyo kutoka kwa Urusi kwamba itazingatia matumizi ya silaha hizo zenye sumu sawa na bomu chafu.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Kenya ukiongozwa na Ustadh Mahd Ali - Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir nchini Kenya akifuatana na Ustadh Yusuf Ghasani na Ali Mwangi ambao wote ni wanachama wa Hizb ut Tahrir