Mhimili wa Marekani, Saudi na Iran
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hatua za hivi majuzi za Saudi Arabia kukataa kuongeza uzalishaji wa mafuta kinyume na utawala wa Biden zimesababisha mtafaruku nchini Marekani kwani ilionekana kama ukaidi wa Saudia kwa mshirika wake wa usalama. Ili kudhihirisha uhalisia wa kisiasa, ni muhimu kuelewa taswira pana ya kieneo.



