Mafunzo Kutokana na Kufeli Kwa Harakati za Kisiasa za Kiislamu Zilizopita kwa Ummah kwa Jumla na kwa Wale Wanaochukua Mamlaka Haswa kwa Ajili Ya Kusimamisha Mamlaka Halisi ya Kiislamu
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ummah wa Kiislamu una hamu ya kweli ya Khilafah kwa njia ya Utume kama ilivyotajwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw). Katikati ya magofu ya udhalilishaji na uharibifu unaousibu ulimwengu wa Kiislamu, leo, Ummah wa Kiislamu unasubiri siku ya ushindi.