Ukanushaji wa Uislamu Juu ya Nadharia ya Usawa wa Kijinsia
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Utukufu ni Wake ambaye amemuumba mwanaadamu na kumtengeneza, akampulizia roho, na akamtunukia akili.
Katika kipindi cha wiki moja tu, kutokana na maagizo ya IMF, serikali ya Pakistan imeongeza bei ya petroli na dizeli kwa PKR 60. Hivyo petroli imechupa kutoka PKR 150 hadi 210! Kwa mara nyengine, mfumo wa uagiziaji umeweka rekodi mpya.
Quran tukufu inaelezea habari za mataifa tafauti na sababu za kushindwa kwao. Kuna sababu moja tu, nayo ni kuwa, hawakumtii Mwenyezi Mungu (swt). Ima wawe ni watu wa Nuh (as), watu wa Lut (as), Aad au Thamud, ambapo suala la kutomtii Mwenyezi Mungu (swt) kwao lilitafautiana.
Vita vya sasa nchini Ukraine vimechokonoa boksi la Pandora la mjumuiko mpya wa mambo magumu na mizozo kote duniani ambapo vita havielekei kumalizika karibuni.
Kiwango cha misiba na maafa yanayowakabili Waislamu kutokana na kukosekana Dola ya Khilafah, ambayo ni yenye kuuhifadhi Uislamu na kuukinga dhidi ya njama za maadui kutoka kwa Waislamu, kimekuwa wazi.
Mwenyezi Mungu (swt) amewaamrisha waja Wake kuzikinga familia zao kutokana na Moto kwa kujifunga juu ya yale Aliyotuamrisha kuyafanya na kwa kujiepusha kutokana na yale Aliyotukataza.
Uvamizi wa Urusi Ukraine ulioripuka mnamo Februari 24 ya mwaka huu umepelekea mzozo mkubwa wa wakimbizi ambapo Ulaya imeshuhudiwa ikifungua mipaka yake ya kitaifa, ikiwakaribisha zaidi ya Waukraine milioni tatu katika kipindi cha chini ya wiki mbili!
Kila siku, katika kila swala, ya faradhi au nafila, Waislamu wanasoma kauli ya Mwenyezi Mungu (swt), aya katika Surat Al-Fatiha:
Vita katika Ukraine vimeiweka Magharibi katika mapambano dhidi ya adui wake wa muda mrefu – Urusi.