Hakuna Mapumziko Baada ya Leo
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwanzoni mwa ujumbe huu kulimaanisha jitihada zisizochoka kwa ajili ya Dini hii. Mwenyezi Mungu (swt) ameteremsha kuhusiana na Sayyidna Muhammad (saw),
Mwanzoni mwa ujumbe huu kulimaanisha jitihada zisizochoka kwa ajili ya Dini hii. Mwenyezi Mungu (swt) ameteremsha kuhusiana na Sayyidna Muhammad (saw),
Baada ya Waislamu kuihisi hali mbaya waliokuwa wakiishi, utambuzi wa baadhi yao ukaanza kupata nguvu kuelekea kwenye kubadilisha ukweli huu.
Vita vya dunia vimetengeneza maafa makubwa kwenye mfumo wa Kibepari; himaya zimevunjika na idadi ya dola za kitaifa imeongezeka kwa kasi.
Muitikio wa Waislamu wa Pakistan juu ya matukio yanayouangukia Ummah duniani unafichua kuwa njia ya kufikiri ya Kiislamu inaongezeka katika ubora wake, umaarufu na ukamilifu.
Baada ya Waislamu kuihisi hali mbaya waliokuwa wakiishi, utambuzi wa baadhi yao ukaanza kupata nguvu kuelekea kwenye kubadilisha ukweli huu.
Nilikutana na Naveed Butt kwa mara ya kwanza kwenye darsa aliyokuwa akihutubia katika Bustani ya Aziz Bhatti jijini Karachi, kabla ya kuwa mwanachama wa Hizb ut Tahrir.
Hii ndio namna Mwenyezi Mungu Mtukufu amemuelezea Muumini.
Kuwa na Pupa katika Kukimbilia Radhi za Mwenyezi Mungu (swt)
Uchaguzi wa uraisi wa Amerika umeonyesha mgawanyiko mkubwa nchini Amerika na kile ambacho raisi wa Amerika Donald Trump kwa muda mrefu akicheza nacho.
Kashfa dhidi ya matukufu ya Uislamu imekuwa ni jambo la kuendelea kwa Makafiri kuonyesha ghadhabu na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.