Ushuhuda wa Abdul Majeed Bhatti Kuhusu Naveed Butt
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Nilikutana na Naveed Butt kwa mara ya kwanza mnamo 2000, na mara moja nikatekwa na ukweli, ushujaa na mvuto wake.
Nilikutana na Naveed Butt kwa mara ya kwanza mnamo 2000, na mara moja nikatekwa na ukweli, ushujaa na mvuto wake.
Bw. Macron! Umesema kuwa unataka kuanzisha vita vya kifikra dhidi ya Uislamu kwa maadili yako ya kisekula na njia ya maisha ya kiliberali.
Naveed Butt ni sura halisi ya uongozi katika dola ya Khilafah ijayo.
“Tarajio Lililosubiriwa Limekwisha Huku Biden Akishinda nchini Amerika Iliyogawanyika Vibaya.
Athari za ukoloni na ukoloni mamboleo kwenye mfumo wa elimu katika nchi za Waislamu zimekuwa wazi kwa Umma wa Kiislamu.
Tunachokishuhudia nchini Ufaransa ni mgongano wa hadhara.
Maadhimisho ya mwaka wa kwanza ya India kubatilisha Kifungu cha 370 na 35A na kuongeza ukandamizaji wa Waislamu wa Kashmir yamepita kwa maneno matupu ya kawaida ya uongozi wa kiraia na kijeshi.
Kufanya makubaliano ya amani na umbile la Kiyahudi imekuwa ni jambo linalojadiliwa kwa muda mrefu na Ummah tokea kuanzishwa kwake.
Katika hotuba kubwa huko Shenzhen mnamo 14 Oktoba 2020, Waziri Mkuu wa China Xi Xinping aliadhimisha kumbukumbu ya miaka 40 ya eneo la kwanza kabisa spesheli la kiuchumi la China (SEZ) ambalo lilikuwa ni kipengee kikuu cha mkakati wa wazi na wa mageuzi wa China.
Utafiti wa karibuni umeonyesha kuwa kuna muanguko wa dini kiulimwengu. Ikiangaliwa katika jamii za Kimagharibi, na kukua kwa uliberali wa kisekula, hili halishangazi.