Siri ya Mapenzi, Utulivu na Heshima ndani ya Maisha ya Ndoa
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Moja kati ya mahusiano adhimu ambayo Mwenyezi Mungu (swt) amewawekea wanadamu ni mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke. Mahusiano haya ndio asili ya mahusiano yote yanayounda familia.