Dola ya Tashwishi ya Kirasilimali Ikivalia Vazi la Kiislamu
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wakati Ummah ukielekea katika ufahamu wake jumla wa kutoshindikana kurejea kwa Khilafah, tunaona baadhi ya watu wakimtafuta mkombozi kutoka kwa pote la viongozi walio mamlakani, ambaye anafaa zaidi kwa jukumu hili, na wanapendelea Raisi wa Uturuki Erdogan kuwa ndiye mwenye kufaa kwa jukumu hili.