Mtazamo wa Uislamu Juu ya Upandikizaji wa Moyo wa Nguruwe kwa Binaadamu
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Gazeti la Express Tribune nchini Pakistan limeripoti mnamo tarehe 30 Januari 2022, “Upandikizaji wa mwanzo uliobadilishwa kigenetiki wa moyo wa nguruwe kwa mgonjwa anayeugua mahututi umechemsha mjadala mkali miongoni mwa Waislamu kote duniani.