Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan Amali za Umma Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa kampeni ya hotuba ya hadhara na maandamano yanayolingania kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume, ambayo itazuia kumkashifu mara kwa mara Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).