Jibu la Swali: Mkutano kati ya Trump na Putin huko Alaska
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais Trump wa Marekani na Rais wa Urusi Putin walifanya mkutano huko Alaska mnamo tarehe 16/8/2025. Je, walifikia makubaliano kuhusu masuala muhimu? Je, mkutano huu ulikuwa na athari gani katika mahusiano kati ya nchi hizi mbili? Kuhusu Ukraine? Na kimataifa kuhusu Ulaya na China?



