Alhamisi, 09 Shawwal 1445 | 2024/04/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah 1445 H – 2024 M

Katika mwezi Mtukufu wa Rajab wa mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi tena kumbukumbu uchungu ya 103 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo ilianzishwa na Bwana wa Mitume wote Muhammad, rehma na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie, na maswahaba zake watukufu, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kuondolewa kwa Mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu katika mwaka wa 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezo ya Kuinusuru Gaza “Sisi Sio kwamba ni Watu Tunaowahurumia Watu wengine, bali Sisi ni Umma Mmoja”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa kichwa “Sisi Sio kwamba ni Watu Tunaowahurumia Watu wengine, bali Sisi ni Umma Mmoja” kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauwaji wahalifu.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Denmark: Kongamano “Palestina Yalilia Ukombozi!”

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu ya (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi  ambalo liliendelea na mashambulizi yake dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na upigaji mabomu wa kuendelea wa Ukanda wa Gaza kwa miaka 17

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Kongamano la Wanawake la Kimataifa: Je, Palestina Tutaikomboa Vipi?”

Huku umbile halifu la Mayahudi (Wazayuni) likiendelea na ulipuaji mabomu wa kinyama na kikatili wa Gaza, wanawake na watoto ndio wanaohimili uzito wa mauaji haya ya halaiki ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 72 hadi kufikia sasa 

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu