Urasilimali Husababisha Njaa na Kuwauwa Wenye Njaa
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mamlaka huko Darfur Kaskazini zilianzisha uchunguzi kuhusu kifo cha watoto wawili kutokana na njaa katika moja ya wilaya za El Fasher, mji mkuu wa jimbo hilo, siku mbili zilizopita.



