“Wao ni maadui, jihadhari nao. Allah awaangamizilie mbali! Vipi wanapotoka na haki?"
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Disemba 13/12/2017, viongozi wa nchi hamsini na tano za biladi za Kiislamu walikusanyika jijini Istanbul kujibu uamuzi wa Trump wa kutangaza Al-Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa umbile la Kiyahudi,