Je, Mumeshuhudia Waziwazi Uhadaifu wa Demokrasia Nchini Zanzibar?
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siku chache zilizopita, Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) ilitangaza kuwa mnamo 20 Machi 2016 itakuwa ndio siku ya Marudio ya Uchaguzi ambao ulikuwa umefanyika mnamo 28 Oktoba 2015.