Hotuba ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanywa na Shirika la Habari la Sudan (SUNA) kwa Anwani: Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan Yazindua Kampeni ya Kupambana na Mihadarati
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye ametukirimu kwa akili, na ametufadhilisha juu ya wengi walioumbwa kwa upendeleo, basi akatuongoza kwenye Uislamu, na akatujaalia kutoka katika Ummah wa watu bora zaidi, na swala na amani zimshukie mjumbe kama rehma kwa walimwengu wote