Tunawapa Salamu za Eid ul-Fitr
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Harakati ya Hizb ut-Tahrir/ Kenya ingependa kutuma salaam zake za dhati kwa Waislamu wa humu nchini na ulimwengu kwa ujumla kwa munasaba wa siku kuu ya Eid ul-Fitri.