Uhusiano wa Nyaraka za Pandora na Ufukara wa Dunia
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika msimu wa kipupwe wa Oktoba 2021, Nyaraka za Pandora zilifichuliwa kwa walimwengu.
Katika msimu wa kipupwe wa Oktoba 2021, Nyaraka za Pandora zilifichuliwa kwa walimwengu.
Dunia inaendelea kuiangalia Afghanistan huku wengi bado wakishangaa vipi uvamizi wa miaka 20 umeshindwa kwa kiasi hicho cha kustaajabisha.
Kwa kuongezeka mvuto katika Dini tukufu ya Uislamu ndani ya miongo mitatu iliyopita, kumekuwa na ongezeko la uwiyano wa shauku katika miongozo ya Uislamu kuhusiana na huduma za afya.
Katika usikilizwaji wa Kamati ya Seneti ya Benki wa tarehe 28 Septemba 2021, Waziri wa Fedha, Janet L. Yellen, aliwaonya watunga sheria wa Amerika mnamo Septemba 28 juu ya matokeo ya “msiba mkuu”, pindi Bunge la Marekani likishindwa kuongeza au kusitisha ukomo wa kisheria wa deni hadi Oktoba 18, 2021, akisema, kuchelewa kutapelekea mporomoko wa kujiumiza wenyewe wa kiuchumi na mgogoro wa kifedha.
Inaweza kuwa kwa yeyote kati yetu wanawake - lakini alikuwa ni Sarah Everard, msichana mdogo kutoka London ambaye aliuawa kinyama na polisi mkatili PC Wayne Couzens.
Mnamo Septemba 24, 2021 viongozi wa ushirikiano usio rasmi wa Quad ulitangaza, “Kwa pamoja, tumejifunga tena kukuza mpango huru, ulioegemea kanuni za uwazi, zilizochimbuka katika sheria za kimataifa na zisizo na hofu ya shinikizo, kuimarisha usalama na ustawi katika Indo-Pacific na nje yake.”
Haki za uavyaji mimba nchini Amerika zinajadiliwa tena zikikita kambi maeneo ya Texas ambayo imeweka sheria ambayo itawazuia wanawake kutoa mimba baada ya kufika wiki 6.
Mnamo asubuhi ya Septemba 15 wakati wa kile kiitwacho “operesheni maalum”, kwa uchache Waislamu 18 waliwekwa kizuizini na FSB na Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Moscow na jimbo la Moscow.
Kesi ya Kushtua ya Dkt Aafia Siddiqui Muislamu anayejiheshimu na Mwanasayansi wa neva (Neuroscientist) ambaye amekuwa nembo ya ‘Vita vya Ugaidi’ vya Amerika ni mmoja miongoni mwa mifano mingi ya kutisha ya ubaguzi wa Amerika katika miaka ya hivi karibuni.
Taliban hivi karibuni imetangaza serikali mpya ya mpito baada ya mabatilisho na ucheleweshaji wa mara kadhaa.