Kwa Kila Mwanamke wa Kiislamu: Je Kuna Ujira Wowote wa Wema Isipokuwa Wema?
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Maendeleo ya kisayansi na uvumbuzi yamegundua siri kama vile siri za falaki kwa wanaadamu ambazo hazikujulikana kabla.
Mnamo 3 April 2021, Waziri wa Sayansi na Teknolojia wa Pakistan, Fawad Chaudhry aliandika nukuu ya tweet “Mwezi wa Ramadhan utaonekana wazi jioni ya April 13 kwenye maeneo ya Lahore, Islamabad na Peshawar na katika miji mengine na funga itaanza April 14.”
Wito wa Khilafah Kutuunganisha ni wa Kiulimwengu Hivi Sasa; Ikiashiria Kurudi Kwake Kuwa Dola Kuu Inshaallah
Elimu ni kusudio msingi la jamii yetu hivi leo. Ni moja ya Malengo muhimu ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa, kufikiwa kwake ni shabaha ya takriban kila mtu duniani kote.
Ndio Bw. Blair! Licha ya Ajenda Karne Nzima ya Wamagharibi ya Kuigawanya Mashariki ya Kati; Mustakbali Hauna Shaka Utakuwa ni Uislamu Ulioamuliwa na Ummah
Katika miaka 100 iliopita, ardhi za Waislamu hazikujua chochote isipokuwa kiza, vifo, maangamizi, ufukara na kukata tamaa. Mauwaji, mateso, ukandamizaji, ufidhuli na maafa yamefumwa kwenye msingi wa maisha ya watu katika eneo hili.
Kwa zaidi ya karne kumi na tatu, Ulimwengu wa Kiislamu ulishughulikia suala hili.
Khilafah ni Kivuli cha Mwenyezi Mungu (swt) Juu ya Ardhi Ilioleta Faraja Kwa Karne Nyingi Kutokana na Udhalimu na Ni Pekee Itakayoleta Tena Inshaallah
Mamia ya miaka imepita tokea kuvunjwa kwa ngao ya Ummah, Khilafah. Tokea muda huo, makafiri wakoloni wamekuwa wakifanya kazi usiku na mchana kuzuia kurudi tena kwa Khilafah.